Sijabahatisha by MUSIC VIDEO

Sijabahatisha LYRCIS by Alice Kimanzi:
Upendo wake ni hakika na kweli
Akipenda hawezi kuacha
Upendo wake ni hakika na kweli
Akipenda hawezi kubwaga
Kipi cha kututenga na Yesu
Akipenda hawezi kuacha
Sio njaa sio shida wala dhiki
Akipenda hawezi kuacha

Chorus:
Sijabahatisha kukutana na Baba
Anayenipenda huyo ni Mungu

Kabla sijampenda yeye alinipenda
Kabla sijazaliwa tayari alinijua
Nilipokuwa gizani yeye alinifia
Nilipokuwa mpotevu kwa upendo alinisaka
Uaminifu wake ni wa milele
Maana agano lake ladumu milele
Ukarimu wake ni wa milele
Na fadhili zake za dumu milele

Anaye ponya niye, Anaye okoa niye
Anaye huisha nasfsi yangu niye
Anaye inua niye, Anayetosha niye
Anaye ituliza dhoruba niye

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here