Home African Music Boaz Danken – Yesu Wastahili

Boaz Danken – Yesu Wastahili

Yesu Wastahili by Boaz Danken MP3 MUSIC VIDEO

Yesu Wastahili LYRICS by Boaz Danken:
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu

Tumwambie Bwana
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu
Mwambie tena
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu
Mwambie tena
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu
Aaaaah
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu

Mwinue Bwana Yesu
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu
Tunalibriki jina la Bwana Yesu
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu

Wewe ni chaguo langu la milele
Nikiwa na wewe nina amani tele
Nainua mikono ninakuabudu
Maisha yangu yote nayatoa kwako
(rudia)

Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu

Wewe ni Bwana unastahili Yesu
Simba wa Yuda shina la Daudi
Chipukizi la Yesu nani kama wewe
Jiwe Kuu la pembeni tunakuabudu Yesu

Tunainama tunainuka
Twainua mikono tunakuabudu
Tunainama tunainuka
Twainua mikono tunakuabudu
Tunainama tunainuka
Twainua mikono tunakuabudu

Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu