Home Music Lyrics Christina Shusho – Akutendee Nini

Christina Shusho – Akutendee Nini

Akutendee Nini by Christina Shusho MP3 MUSIC VIDEO

Akutendee Nini LYRCIS by Christina Shusho:
Aleluya
Yesu ni Bwana
Nawala hana mpinzani, atatenda mambo
Wataka akutende nini, akutende nini we
Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ni hili

Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu
Jala Lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo akutende nini we
Wengi wataka kuwa rahisi wa nchi, wengi wataka kuwa wa bunge nawe akutende nini we
Mwingine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke, wataka akutende nini we

Mama huyu ombi lake apate mtoto, wengi wapate elimu wataka akutende nini we

Mwambie(mwambie)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here