Shusha Nyavu by Christina Shusho MP3 MUSIC VIDEO
Shusha Nyavu LYRCIS by Christina Shusho:
Alipokwisha kunena alimwambia Simoni
Toweka mpaka kilindini kashushe nyavu zenyu
Yesu lipokwisha kunena alimwambia Simoni
Toweka mpaka kilindini kashushe nyavu zenyu
Bwana mkubwa tumefanya kazi ya kutosha usiku kucha
Bwana mkubwa tumefanya kazi mpaka tusipate kitu
Bwana mkubwa tumefanya kazi ya kutosha usiku kucha
Bwana mkubwa tumefanya kazi mpaka tusipate kitu
Lakini kwa neno lako
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Bwana kwa neno lako
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Najua nikiwa nawe, Bwana nitasimama tena
Hata nikilemewa, wewe utanishika tena
Hata vita inijie, Bwana utanipigania
Watesi wajipange, Bwana utapigana nao
Nimetoa mwenzenu nimetoa
Nimetoa na mafuta nikapewa
Nikapanda na mbegu nikapanda
Nikapanda ila mvua haikunyesha
Bwana mkubwa tumefanya kazi ya kutosha usiku kucha
Bwana mkubwa tumefanya kazi mpaka tusipate kitu
Bwana mkubwa tumefanya kazi ya kutosha usiku kucha
Bwana mkubwa tumefanya kazi mpaka tusipate kitu
Lakini kwa neno lako
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Bwana kwa neno lako
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Kwa neno lako, Bwana kwa neno lako
Yesu tuma neno
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Nashusha nyavu, nashusha nyavu
Nashusha nyavu, nashusha nyavu