African Music Lyrics Essence Of Worship – Hakuna Usiloweza

Essence Of Worship – Hakuna Usiloweza

Hakuna Usiloweza by MP3 MUSIC VIDEO

Hakuna Usiloweza LYRCIS by Essence Of Worship:
Hakuna hakuna hakuna
Hakuna usiloweza

Hakuna hakuna hakuna
Hakuna usiloweza

Wewe ni Mungu wakuabudiwa
Milele yote wewe ni kiongozi
Uliwavusha wanaisraeli
Bahari ya shamu kwa uwezi wako

Maserafi makerubi wanasujudu mbele zako
wanazivua taji zao mbele zako wakisema
Niwewe wastahili heshima
Lazima tuimbe tulisifu jina lako

Hakuna hakuna hakuna
Hakuna usiloweza

Hakuna hakuna hakuna
Hakuna usiloweza

Hakuna usiloweza Yesu
Hakuna usiloweza Yesu
Hakuna usiloweza Yesu

Leave a Reply