Ndio Yako by Gloria Muliro MP3 MUSIC VIDEO
Ndio Yako LYRICS by Gloria Muliro:
Ingelikuwa mungu anauliza mwanadamu
Jinsi ya kumtendeaaa mwanadamu
Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo,ata tena ninsingekuwa mahali nilipo
Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale baba oooh
Unabariki unayependa, unabariki unavyopenda
Mimi nahitaji eeeh
Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Nahitaji ndio ooh yako yesu tu
Ninataka ndio ooh yako yesu tu
Ndio yako ndio itanisimamisha
Ndio yako itanifungulia milango