Home African Music Israel Ezekia – Heshima na Sifa

Israel Ezekia – Heshima na Sifa

Heshima na Sifa by Israel Ezekia MP3 MUSIC VIDEO

Heshima na Sifa LYRICS by Israel Ezekia:
Heshima na sifa twakupa ee Bwana Heshima

na sifa pokea milele Heshima na sifa twakupa ee Bwana Heshima na sifa pokea milele Waweza,

watosha mwamba wa wokovu Heshima na sifa pokea milee Heshima na sifa twakupa ee Bwaa Heshima na sifa pokea milele Watosha,

waweza, mwamba wa imara Heshima na sifa pokea milele Una nguvu,

unaweza jina lako ni kuu Heshima na sifa pokea milele Heshima na sifa twakupa ee Bwana Heshima na sifa pokea milele

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here