Home African Music Israel Ezekia – Wastahili Praise

Israel Ezekia – Wastahili Praise

Wastahili Praise by Israel Ezekia MP3 MUSIC VIDEO

Wastahili Praise LYRICS by Israel Ezekia:
Kwa matendo yako
Viumbe vyote twakutukuza
Umejawa na rehema
Na neema muweza yote
(Repeat)

CHORUS
Wastahili Wastahili
Milele na milele
Mungu wetu twakusifu
Pokea sifa
(Repeat)

VERSE 2
Mungu wetu Twakusifu
Mtawala, Mwaminifu
Mwenye enzi Twakuinua
Pokea sifa
Wewe Mungu, Unaponya, Wabariki Wainua
Wewe Pekee Twakusifu
Pokea sifa

CHORUS
Wastahili Wastahili
Milele na milele
Mungu wetu twakusifu
Pokea sifa
(Repeat)

VERSE 3
Wewe Mungu Hulinganishwi
Hufananishwi na yeyote
Uliumba, Hukuumbwa
Pokea sifa
Uweza wako ni wa milele
Ufalme wako ni wa milele
Mungu wetu twakusifu
Pokea sifa

CHORUS
Wastahili Wastahili
Milele na milele
Mungu wetu twakusifu
Pokea sifa
(Repeat)

Kwa matendo yako
Viumbe vyote twakutukuza
Umejawa na rehema
Na neema muweza yote
(Repeat)

CHORUS
Wastahili Wastahili
Milele na milele
Mungu wetu twakusifu
Pokea sifa
(Repeat x2)