Music Lyrics Joel Lwaga – Nitakuamini Tu

Joel Lwaga – Nitakuamini Tu

Nitakuamini Tu by MP3 MUSIC VIDEO

Nitakuamini Tu LYRCIS by Joel Lwaga:
Kwa kuwa umesema, mimi nitakuamiamini tu
Hata kama sijaona, mimi nitakuamini tu
Sitajali wanaosema, mimi nitakuamini tu
Nitashika ulilosema, mimi nitakuamini tu

Kwa kuwa umesema, mimi nitakuamiamini tu
Hata kama sijaona, mimi nitakuamini tu
Sitajali wanaosema, mimi nitakuamini tu
Nitashika ulilosema, mimi nitakuamini tu

Nitakuamini, nitakuamini
Nitakuamini, nitakuamini tu
Nitakuamini, nitakuamini
Nitakuamini, nitakuamini tu

Nimejua na nina uhakika (Hee)
Ukisema neno linatimia
We si mwanadamu ataujuta
Si mtu kusema uongo

Hata kama nuru inafifia (Hee)
Hata kama huu ni uhalisia
Hata kama sioni njia
Sina pa kukimbilia
Ulilosema ni akiba, hee

Iwe mvua ama jua
Kiangazi au masika
Iwe leo au kesho
Siku nisiyoijua
Nitasubiri, nitasubiri
Nitasubiri, kwa kuwa umesema…

Kwa kuwa umesema, mimi nitakuamiamini tu
Hata kama sijaona, mimi nitakuamini tu
Sitajali wanaosema, mimi nitakuamini tu
Nitashika ulilosema, mimi nitakuamini tu

Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini tu

Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini tu

Leave a Reply