Home African Music Jowie Irungu – Juu

Jowie Irungu – Juu

Juu by Jowie Irungu MP3 MUSIC VIDEO

Juu LYRCIS by Jowie Irungu:
Verse 1:
IF I WAKE UP TOMORROW
AND I DIDN’T FIND ME
(I LOOSE IT ALL )*2
NA NIKI PATA MWANGA WANGU
UMEPOTEA , NIKO GIZANI …
MI SIFI MOYO
SI KUFI MOYO
CZ

Chorus :
NA ANGALIA JUU
NA TAZAMIA JUU
JUU SANA
NA ANANGALIA JUU
NA MTAZAMIA MUNGU
*2

Verse 2:
TANGU HAPO JADI
UMENIPA AMANI
UKA NIVISHA THAMANI
KWANGU MIMI
NA TENA HUKU JALI
PALE MSALABANI
UFAKA JILI
(YA MIMI)*2 yeh!yeh!yeh!

Bridge:
[ GONGO LAKO NA FIMBO YAKO ,
VYA NIFARIJI MIMI BWANA
(YU NAMI )*2 BWANA ]
*2

Chorus :
[NA ANGALIA JUU
juu juu juu
NA TAZAMIA JUU
Juu juu juu
JUU SANA
NA ANGALIA JUU
juu juu juu
NA MATAZAMIA MUNGU]*2

Yeah!Yeah!Yeah!

Verse 3:
IZO BARAKA
(ZI COME COME)*4
Wouh
SHOWER UR BLESSINGS
ALL OVER THE WORLD
IZO BARAKA
(ZI COME COME)*4
SHOWER UR BLESSINGS
ALL OVER KENYA 🇰🇪

Bridge :

[ GONGO LAKO NA FIMBO YAKO ,
VYA NIFARIJI MIMI BWANA
(YU NAMI )*2 BWANA ]
*2

Chorus :
[NA ANGALIA JUU
juu juu juu
NA TAZAMIA JUU
Juu juu juu
JUU SANA
NA ANGALIA JUU
juu juu juu
NA MATAZAMIA MUNGU]*2
Yeah!Yeah!Yeah!

IF I WAKE UP TOMORROW
AND I DIDN’T FIND ME
(I LOOSE IT ALL )*2
NA NIKI PATA MWANGA WANGU
UMEPOTEA , NIKO GIZANI …
SI KUFI MOYO
USIFE MOYO
YEI YEI YEIII YEEAAH !