African Music Lyrics lsrael Ezekia – Wewe ni Mungu

lsrael Ezekia – Wewe ni Mungu

Wewe ni Mungu by MP3 MUSIC VIDEO

Wewe ni Mungu LYRICS by lsrael Ezekia:
Chorus:
Wewe ni Baba wewe ni Mungu
Unayetunza maagano
Unasimama na neno lako
Wewe ni Baba, wewe ni Mungu

Wewe ni Baba wewe ni Mungu
Unayetunza maagano
Unasimama na neno lako
Wewe ni Baba, wewe ni Mungu.

Wewe ni Baba wewe ni Mungu
Unayetunza maagano
Unasimama na neno lako
Wewe ni Baba, wewe ni Mungu

Wewe ni Baba wewe ni Mungu
Unayetunza maagano
Unasimama na neno lako
Wewe ni Baba, wewe ni Mungu

Uaminifu wako wang’aa milele
Tunakuabudu wewe ni Mungu
Uaminifu wako wang’aa milele
Tunakuabudu wewe ni Mungu

Wewe ni Baba wewe ni Mungu
Uweza ni wa milele
Unayafanya mambo makuu
Wewe ni Baba wewe ni Mungu
Uaminifu wako wang’aa milele
Tunakuabudu wewe ni Mungu
Uaminifu wako wang’aa milele
Tunakuabudu wewe ni Mungu
Tunakuabudu wewe ni Mungu

Leave a Reply