African Music Lyrics Martha Mwaipaja – Cha Kutumaini Sina

Martha Mwaipaja – Cha Kutumaini Sina

Cha Kutumaini Sina by MP3 MUSIC VIDEO

Cha Kutumaini Sina LYRCIS by Martha Mwaipaja:
Cha kutumaini sina ila
Roho yako bwana
Sina wema wa kutosha
Dhambi zangu kuziosha
Bila wewe ni nani awezaye
Kusimama bila damu yako
Ulifunika dhambi kwa damu

Leave a Reply