Home African Music Martha Mwaipaja – Sipiganagi Mwenyewe

Martha Mwaipaja – Sipiganagi Mwenyewe

Sipiganagi Mwenyewe by Martha Mwaipaja MP3 MUSIC VIDEO

Sipiganagi Mwenyewe LYRCIS by Martha Mwaipaja:
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sishindinagi mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Mwenzio sishindani mwenyewe
Mimi vita sijui
Mimi vita siwezi
Asema nitulie atajibu
Kuna majira vita huja kwangu
Kuna majira watesi waliniinukia
Kuna majira nilitaka kupambana
Mwenyewe
Nikasikia sauti, sauti imebeba ushindi
Wangu
Ikaniambia mimi ni Baba yako
Usipigane mwenyewe mwanangu

Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sishindani mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio vita nimekataa
Ninapiganiwa na Baba