Home African Music Mercy Masika – Kuna Namna

Mercy Masika – Kuna Namna

Kuna Namna by Mercy Masika MP3 MUSIC VIDEO

Kuna Namna LYRCIS by Mercy Masika:
Kuna aina za upendo, aina nyingi
Lakini upendo wako ndio halisi
Kuna aina za utukufu, aina nyingi
Lakini wako ni mkuu na wa milele

Kuna aina pia za miungu
Lakini we ni Mungu mkuu aliye hai

Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)
Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)

Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende

Hukututenda sawa sawa na hatia zetu
Wala hukutulipa kwa maovu yetu
Umeniokoa mtegoni wa mwindaji
Kwa manyoya umenifunika niko salama

Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)
Ujana wangu (Ndio) umerejeshwa (Ndio)
Ujana wangu (Ndio) umerejeshwa (Ndio)

Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende

Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here