African Music Lyrics Mercy Masika – Mkono Wa Bwana

Mercy Masika – Mkono Wa Bwana

Mkono Wa Bwana by MP3 MUSIC VIDEO

Mkono Wa Bwana LYRCIS by Mercy Masika:
La la la la la la la la
Umeomba sana aah
Umehangaika sana aah
Umengoja sana ila majibu huoni

Nyuma mbele kwa marafiki hutoshi eey

Usife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yako
Usife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yako

Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia

Ahadi zake ni kweli
Njia zake sio kama binadamu
Akili zake ziko juu
Atusikia sisi wanadamu

Tulia.aah
Tulia na baba
Tusife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yetu
Tusife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yetu

Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia

Si zito si zito
Ooh

Hallelluyah ni mwaminifu

Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia

Mkono wa bwana si mfupi halleluhya
Wala sikio lake si zito kusikia

Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Atatenda muujiza kwa ajili yako

Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia

Oooh
Yerah
Mkono wa bwana si mfupi

Leave a Reply