African Music Lyrics Mercy Masika – Wastahili

Mercy Masika – Wastahili

Wastahili by MP3 MUSIC VIDEO

Wastahili LYRICS by Mercy Masika:
[Verse 1]
Mungu wa wokovu wangu
Wastahili kusifiwa
Hakuna kama wewe, Yesu
Kule kuwa kama Mungu
Uliona si kitu
Cha kushikamana nacho
Ukaacha enzi ukashuka kwetu
Kule kuwa kama Mungu uliona si kitu
Cha kushikamana nacho
Ukashuka kwetu
Kutukomboa

[Bridge]
Kaburi lilishindwa kukushika shujaa
Ukatoka na nguvu na mamlaka
Umeketi enzini
Wafungua wafungwa
Twakuabudu milele
Lile kaburi
Kaburi lilishindwa kukushika shujaa
Ukatoka na nguvu na mamlaka
Umeketi enzini
Wafungua wafungwa
Twakuabudu milele

[Chorus 1]
Wastahili (wastahili)
Wastahili
Utukufu na nguvu
Zi’ nawe (zi’ nawe)
Eeh, Bwana (eeh, Bwana)
Hallelujah (hallelujah)
Hallelujah
Hallelujah Yaweh (Hallelujah)
Hallelujah
Utukufu utukufu (utukufu)
Utukufu na nguvu (na nguvu)
Zi’ nawe (zi’ nawe)

[Chorus 2]
Wastahili (wastahili)
Wastahili Baba
Wastahili Baba (wastahili)
Utukufu na nguvu
Zi’ nawe (zi’ nawe)
Zi’ nawe
Eeh, Bwana (eeh Bwana)
Hallelujah (hallelujah)
Hallelujah hallelujah
Hallelujah Yaweh (hallelujah)
Ooh
Hallelujah
Utukufu (utukufu)
Na nguvu (na nguvu)
Zi’ nawe (zi’ nawe)

[Bridge]
Kaburi lilishindwa kukushika shujaa (shujaa)
Ukatoka na nguvu (ukatoka na nguvu)
Na mamlaka
Umeketi enzini
Wafungua wafungwa
Twakuabudu milele (twakuabudu)
Kaburi lilishindwa kukushika shujaa (lilishindwa lilishindwa)
Ukatoka na nguvu (ukatoka na nguvu)
Na mamlaka (na mamlaka)
Umeketi enzini
Wafungua wafungwa
Twakuabudu milele

[Outro]
Wastahili (wastahili wastahili)
Wastahili
Utukufu (utukufu) na nguvu zi’ nawe
Eeh, Bwana
Hallelujah (hallelujah)
Hallelujah hallelujah (hallelujah)
Hallelujah hallelujah
Utukufu (utukufu) na nguvu zi’ nawe (zi’ nawe)
Wastahili wastahili
Utukufu na nguvu
Zi’ nawe
Eeh, Bwana..

Leave a Reply