African Music Lyrics Patrick Kubuya – Yesu ni Wimbo Wangu

Patrick Kubuya – Yesu ni Wimbo Wangu

Yesu ni Wimbo Wangu by MP3 MUSIC VIDEO

Yesu ni Wimbo Wangu LYRCIS by Patrick Kubuya:
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Wewe ndio mpenzi wangu sitakuacha

Niende wapi nimekutambua wewe
Nifuate nani kwako kuna utulivu
Niende wapi nimekutambua wewe
Nifuate nani kwako kuna utulivu

Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu

Niende wapi nimekutambua wewe
Nifuate nani kwako kuna utulivu
Niende wapi nimekutambua wewe
Nifuate nani kwako kuna utulivu

Tangu nilipokupokea eeh Yesu
Wimbo wangu ikajawa na furaha eeh
wimbo yangu ikajaa tumaini
Tegemeo langu ni Yesu
Msaada wangu wa karibu ni wewe eeh iye
Nakutegemea Yesu uuuh…

Leave a Reply