African Music Lyrics Rose Muhando – Karibu Kwangu

Rose Muhando – Karibu Kwangu

Karibu Kwangu by MP3 MUSIC VIDEO

Karibu Kwangu LYRCIS by Rose Muhando:
Baba, baba
Kikombe nimekinywea
Hukumu nimechukua
Mateso nimeyapokea

Maumivu nimevumilia
Kama ulivyosema mwenyewe
Hakika nimekinywea
Oooh Halleluyah

Yesu, Yesu
Yesu, Yesu
Karibu kwangu

Eh…eh…eh..
Karibu kwangu

Ewe Yesu..Yesu
Bwana Yesu…Yesu
Nakuhitaji
Karibu kwangu

Mpenzi Yesu..Yesu
Bwana Yesu…ewe Yesu
Karibu kwangu

Maumivu yangu, wayajua Yesu
Kilio changu, kikufikie Yesu
Nakuita karibu

Chini ya mretemu
Nimelala Yesu
Mateso ni mengi
Nimechoka Yesu
Nakuita karibu

Mfariji njoo
Mtetezi njooo
Mtoshelevu njoo
Baba yangu njooo
Nitangoja

Ewe Yesu..Yesu
Bwana Yesu…Yesu
Nakuhitaji, karibu kwangu

Mpenzi Yesu..Yesu
Bwana Yesu…ewe Yesu
Karibu kwangu

Uko wapi Yesu
Ewe Yesu, bwana Yesu
Karibu kwangu

Njoo Yesu, njoo Yesu
Uje Yesu, nakuhitaji
Karibu kwangu

Usiniache Yesu
Ewe Yesu(Nimekukaribia Yesu)
Bwana Yesu(Siwezi peke yangu)
Karibu kwangu

Leave a Reply