African Music Lyrics Sarah K – Liseme

Sarah K – Liseme

https://m.youtube.com/watch?v=vWZrXlNkslI

Liseme by MP3 MUSIC VIDEO

Liseme LYRCIS by Sarah K:
Hamna jambo Yeye asiloliweza

Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza

Liseme, liseme, litaje, litaje

kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza

Yeye ni Baba wa yatima, Yeye ni mume wa wajane

Yeye ni mponyaji. Yeye ni mkarimu
Mlinzi, mfariji wa ajabu.

Yeye ni mponyaji, Yeye ni mkarimu
Mlinzi, mfariji wa ajabu

Leave a Reply