African Music Lyrics Size 8 Reborn – Yahweh

Size 8 Reborn – Yahweh

Yahweh by MP3 MUSIC VIDEO

Yahweh LYRCIS by Size 8 Reborn:
[Chorus]
Oh Yahweh, umetukuka leo
Oh Yahweh, kesho na milele
Nasema oh Yahweh
Umetukuka leo
Oh Yahweh kesho na milele

[Verse 1]
Kutoka Sao pande za Jericho
Ulinipendea huko huko
Nikitazama sipati picha
Vile umenitendea
Viraka vyangu, umefunika
Kikombe changu, kinafurika
Na hadi hapa, umenifikisha
Ni wewe umenitendea

[Chorus]
Oh Yahweh, umetukuka leo
Oh Yahweh, kesho na milele
Nasema oh Yahweh
Umetukuka leo
Oh Yahweh kesho na milele

[Verse 2]
Imani yangu ikivunjika
Amani yako imenifunika
Neema yako imenizunguka
Kweli umenitendea
Pahali pote litasifika
Jina lako lipewe sifa
Milango zote zitafunguka
Ni wewe umeniteneea

[Chorus]
Oh Yahweh, umetukuka leo
Oh Yahweh, kesho na milele
Nasema oh Yahweh
Umetukuka leo
Oh Yahweh kesho na milele

[Bridge]
Baba pokea sifa,
Sifa Sifa, Sifa, iye, iye, iye, iye
Sifa, sifa, nah, nah, nah
Bwana umenipa Favour
Favour, Favour, favour iye, iye, iye
Favour, Favour, nah, nah, nah
Na wewe unatesa
Tesa, tesa, tesa iye, iye, iye, iye
Tesa, tesa, nah, nah, nah
Baraka zako zanyesna
Nyesna, nyesna, nyesna iye, iye, iye, iye
Nyesna, nyesna, nah, nah, nah

Leave a Reply