African Music Lyrics The Saints Ministers – Ajua Yote, Mwamini

The Saints Ministers – Ajua Yote, Mwamini

Ajua Yote, Mwamini by MP3 MUSIC VIDEO

Ajua Yote, Mwamini LYRCIS by The Saints Ministers:
Yesu Ajua machungu yako ameona machozi yako, Asema niko nawe mpendwa, usiogope chochote.

Chorus
Mwamini, Mwokozi, Ajua, Ajua Yote..
Yakusumbua Mwachie, ashughulikie kamilifu.

Ajua yalo moyoni mwako, mateso umeyapitia,
Mwamini katika Hali zote, ni mwema hatakuwacha

Leave a Reply