Home African Music The Saints Ministers – Kunapokucha

The Saints Ministers – Kunapokucha

Kunapokucha by MP3 MUSIC VIDEO

Kunapokucha LYRCIS by The Saints Ministers:
[Verse 1]
Kila kunapokucha, maisha yangu ntakukabidhi, kazi zangu naweka kwako, e Bwana wangu unilinde, Fikira zangu uzing’arishe, ziweze kukuhimidi, Nijaze na roho Mtakatifu.

[Chorus]
Nikiyafungua macho, nione uwepo wako, na masikio yangu yote, Utulivu uwe wimbo, akili nayo iwaze mema, uniongoze siku nzima, nitalisifu jina lako Bwana unipe matumaini.

[Verse 2]
Siku ikiwa na purukushani, magonjwa mengi yakinibana, ajali huku, sikitiko kote unuzingire Baba, jioni nayo Mungu wangu, nehema na fadhili zako, nazihitaji usiku kucha nitashukuru.

[Bridge]
Kwa mahitaji ya Kesho, sina shaka, kwani wewe Mungu U mpaji.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here