Home African Music Lyrics Walter Chilambo – Ananipenda

Walter Chilambo – Ananipenda

Ananipenda by MUSIC VIDEO

Ananipenda LYRCIS by Walter Chilambo:
Yesu ananipenda yesu ananipenda yesu ananipenda haki ya mungu ananipenda [ananipenda]
Yesu ananipenda yesu ananipenda yesu ananipenda haki ya mungu ananipenda [ananipenda]

Yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] eeeh yesu ananipenda [ooh ananipenda]
Yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] ooh yesu ananipenda [ananipenda]
yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] eeeh yesu ananipenda [ananipenda yeyee]
yesu ananipenda yesu ananipenda [ooh ananipenda] ooh yesu ananipenda

Ameniponya bwana hakika ameniokoa kwenye mikono ya shetani yesu amenitoa
Akanifia msalabani bwana kaniokoa amenipenda kweli kweli nami nikampokea yesu ananipenda
Neema yake imenifunika eeyeh baraka zake zimenizunguka eeyeh
Na ulinzi wake umenizingira eeyeh kwa mkono wake mi nikasimama ndo maana mpaka sasa sichoki kumsifu bwana yeyeh

Yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] yesu ananipenda haki ya mungu ananipenda [ananipenda]
Yesu ananipenda yesu ananipenda yesu ananipenda haki ya mungu ananipenda [ananipenda]
Yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] eeeh yesu ananipenda [ooh ananipenda]
Yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] ooh yesu ananipenda [ananipenda]
Yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] eeeh yesu ananipenda [ananipenda yeyee]
Yesu ananipenda yesu ananipenda [ooh ananipenda] ooh yesu ananipenda

Ninajivika ujasiri kwa maana najua yupo mtetezi wangu
Ninatembea kifua mbele kwa maana najua yupo mkombozi wangu
Na sina mashaka wala siogopi tena aliye ndani yangu ni mkubwa kuliko vyote
Hakika ananifaa yesu ni mzuri sana utukufu ni kwake kristo bwana wa milele hakika yesu ananipenda

Yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] eeeh yesu ananipenda [ooh ananipenda]
Yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] ooh yesu ananipenda [ananipenda]
Yesu ananipenda yesu ananipenda [ananipenda] eeeh yesu ananipenda

Ameniponya bwana hakika ameniokoa kwenye mikono ya shetani yesu amenitoa
Akanifia msalabani bwana kaniokoa amenipenda kweli kweli nami nikampokea yesu ananipenda.

Leave a Reply