Home African Music Walter Chilambo – Busara

Walter Chilambo – Busara

Busara by Walter Chilambo MUSIC VIDEO

Busara LYRCIS by Walter Chilambo:
Jawabu la upole huigeuza hasira bali neno liumizalo huchochea ghadhabu
Midomo ya mwenye hekima hueleza hueneza maarifa bali moyo wa mpumbavu haufanyi hivyo
Mmh bwana bwana bwana nakuita bwana
Uliye mwama bwana nakwitaji bwana
Unaye badilisha nakutu tengeneza
Nanyenyekea kwako nanyenyekea kwako

Mimi nikama gari bovu wajua pakugusa ni wapi ni wake
Mi nikama kinda la ndege baba oh ukiniacha nitaliwa na mwewe
Ooh mimi nikama jumba bovu sijaezekwa na mkandarasi wangu ni wewe
Maana tunaangamia kwa kukosa maarifa
Nipe nipe nipe [busara]
Ooh nipe [busara]
Baba nipe maarifa na [busara nifanane nawe]
Nifanane nawe bwana ninaomba [busara]
Hekima yako na [busara]
Domo langu nalijua mwenyewe [busara nifanane nawe]

Macho yako bwana yako kila mahali yakichunguza mbaya na mwema
Mmh unitoe katika boma la miba maana ina choma
Na unifanye zao lenya faida nisiwe hasara tena
Unyenyekevu wako bwana [wako bwana] wakufanana [hakuna]
Nami unifanye vivyo hivyo [ooh bwana] unifinyange [sawa sawa]

Mimi nikama gari bovu wajua pakugusa ni wapi ni wake
Mi nikama kinda la ndege baba oh ukiniacha nitaliwa na mwewe
Ooh mimi nikama jumba bovu sijaezekwa na mkandarasi wangu ni wewe
Maana tunaangamia kwa kukosa maarifa
Nipe nipe nipe [busara]
Ooh nipe [busara]
Baba nipe maarifa na [busara nifanane nawe]
Nifanane nawe bwana ninaomba [busara]
Hekima yako na [busara]
Domo langu nalijua mwenyewe [busara nifanane nawe]
Nipe nipe nipe [busara]
Yesu nipe [busara]
Niondolee kiburi baba nipe [busara nifanane nawe]
Uuh sikunibeba kwa mbeleko hivo [busara]
Bali nitualize kwa neno lako [busara]
Bwana ninaomba hekima na [busara nifanane nawe