Home Music Lyrics Walter Chilambo – Mapenzi Ya Milele

Walter Chilambo – Mapenzi Ya Milele

Mapenzi Ya Milele by Walter Chilambo MUSIC VIDEO

Mapenzi Ya Milele LYRCIS by Walter Chilambo:
Mapenzi ya milele ndio yanipendezayo
Yalinipenda mbele sina fahamu nayo
Sasa Amani yake tele rohoni mwangu
Mimi kuwa wake na yeye kuwa wangu
Mimi kuwa wake [aaah] na yeye kuwa wangu

Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo
Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo
Ndo maana na ng’ang’ana na pendo lako la milele

Aaah Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele yote yahwe
Nitakupenda miele yote

We ni bwana wa fadhili zangu mbele umenitangulia
waziongoza njia zangu mi nisije angamia
Kinywa changu kimejawa sifa zakoza
Fahamu zangu umetawala peke yako
Moyo wangu umebali we ni rafiki wa karibu
[hufananishwi] unanipendeza wewe
Mkamilifu we ni mwaminifu bwana uwe kwangu mwamba wangu bwana
Mkamilifu we ni mwaminifu bwana uwe kwangu mwamba wangu bwana

Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo
Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu hayajaona hivo

Mmmh Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele nitakupenda milele
[kama ulivyo nipenda yesu] Nitakupenda [nami nitakupenda wewe] milele
Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele nitakupenda milele
Nitakupenda milele yote yahwe
Nitakupenda milele yote

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here