Nobody by MUSIC VIDEO

Nobody LYRCIS by Walter Chilambo:
Aaaaah ye ye oh
Aaaaah ye ye oh
Ee Bwana nikupe nini
Juu ya furaha ya moyo wangu
Unavyonipenda namna hii
Bwana umegusa moyo wangu

Najiuliza maswali
Hivi umeona nini kwangu?
Maana mi ni wa dhambi
Iweje ukae ndani yangu

Ni upendo wa ajabu
Kunichagua mimi
Watazama nini kwangu
Kilicho ndani kamili aah

Aaah
Almighty God
Mbona sistahili
Kuna namna nakutafakari
Ulivyo na sivyo

Nashindwa kuelewa

Nobody loves me like you do (nobody)
Nobody cares for me like you do (nobody)

Hakuna anaefanya zaidi ufanyavyo
Nobody loves me like you do (do do do)

Aaah ey ey oh nina sadiki wewe ni Mungu
Aaah ey ey oh Mungu wa kweli
Aaah ey ey oh ungu baba uinuliwe
Aaah ey ey oh Nobody No, Nobody No
Nobody No, Nobody No

Uzamapo moyoni
Wangu unaona Siri
Udhaifu wa ndani yangu
Bado unanisitili

Ona damu yako inanisafisha
Na kunitakasa
Pale nashindwa kabisa unanikamata
Mpaka naogopa

Ni upendo wa ajabu
We kunichagua mimi
Watazama nini kwangu?
Kilicho ndani kamili

Aaah Almighty God
Mbona sistahili
Kuna namna na kutafakari ulivyo na sivyo

(Nashindwa kuelewa)

Nobody loves me like you do
Nobody cares for me like you do

Hakuna anaefanya zaidi ya ufanyavyo
Nobody loves me like you do (do do do)

Aaah ye ye ye ninasaidiki wewe ni Mungu
Aaah ye ye ye Mungu wa kweli
Aaah ye ye ye Mungu baba uinuliwe

Nobody No
Nobody No
Nobody like, Nobody
Nobody like you Lord
Nobody like
Nobody like you

Like you do
Nobody Cares for me like you do

Nobody No

Previous articleJohn Van Deusen – If I Get to Heaven
Next articleIsla Vista Worship – sing praise (2022 Version)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here