Home African Music Lyrics Walter Chilambo – Yule Yule

Walter Chilambo – Yule Yule

Yule Yule by MUSIC VIDEO

Yule Yule LYRCIS by Walter Chilambo:
Asante Mungu kwa hapa nilipo
Ninashukuru kwa uzima na, nguvu na nilipo
Na tena umebadili histori yangu ilivyo
Umenifanya mpya tofauti na hapo mwanzo

Maana umenitoa, kifungoni Bwana
Ulinikomboa shetani alinifunga
Tena ukanikomboa kwa damu yako bwana
Sasa Niko huru na wokovu ndani yangu

Umenisitiri kwa upendo wako umenipa ushindi kwa msaada wako
Umenificha kwenye mbawa zako oooh umenibadilisha
Oooh si yule yule
Mimi Kama mimi [yule yule]
Tena [si yule yule]
Ooh mimi si yule [yule yule]
Oooh si yule yule [ yule yule]
si yule yule [yule yule]
Nimekombolewa [yule yule]
Yule Oooh si yule yule

Zidisha unijaze hekima yako wee na njia zako wee zaidi niwe na wee
mawazo uyakamate akili zangu zote fahamu zako wee daima ziniongoze
Ninakupa Maisha yangu na moyo wangu wote
Niwewe tumaini langu mchana na usiku [oooh]

Maana umenitoa, kifungoni Bwana
Ulinikomboa shetani alinifunga
Tena ukanikomboa kwa damu yako bwana
Sasa Niko huru na wokovu ndani yangu

Umenisitiri kwa upendo wako umenipa ushindi kwa msaada wako
Umenificha kwenye mbawa zako oooh umenibadilisha
Oooh si yule yule
Mimi Kama mimi [yule yule]
Tena [si yule yule]
Ooh mimi si yule [yule yule]
Oooh si yule yule [ yule yule]
si yule yule [yule yule]
Nimekombolewa [yule yule]
Yule Oooh si yule yule

Leave a Reply