Home African Music William Yilima – Hata hili linapita

William Yilima – Hata hili linapita

Hata hili linapita by William Yilima MP3 MUSIC VIDEO

Hata hili linapita LYRCIS by William Yilima:
Hata hili linapita
Hata hili Lina mwisho
Hata Hili linapita
Hata hili Lina mwisho

Ni kweli napitia Kipindi kigumu
Moyo unafadhaika
Sina Mashaka
Wakati mwingine nilikumbana na hatari wa kugharimu ughaibu wangu
Mungu hakuniacha
Mungu alinibeba hata hili Lina ukomo wake
Bibilia linasema Nina mlango wa kutokea hata hili Lina mwisho

Majaribu haya budi kuisha
Wajiri wa Kazi ya Mungu
Moyo wangu vumilia
Vumilia eeeeh
Vumilia jipe Moyo
Vumilia eeeeee
Hatimaye utashinda

Vumilia Jipe Moyo
Vumilia Vumilia Hatimaye utashinda
Ni kwa saa mingi na vitisho mbele yako
Ndoa yako inapoumba
Huduma yako ikapigwa Vita hivyo
Usiogope Mtetezi wako Yuko

Usiogope Vita Ni vya Bwana
Sitaogopa Sitaogopa
Mungu Yuko nami
Sitaogopa
Hata Nishindwe
Sitaogopa Sitaogopa Mungu Yuko nami
Sitaogopa
Hata Nishindwe sitaogopa Sitaogopa
Atanishindia

Sitaogopa Mungu Yupo nami
Sitaogopa Mungu ananipigania
Sitaogopa Mungu Yupo nami
Hajawainiaibisha
Sitaogopa Mungu Yupo nami

Sitaogopa Sitaogopa Mungu atanishindia
Mpaka nifikishe kusudi
Hata hili Ni mapito
Hata Hili Ni mapisho hata hili Ni mapito
Hata Hili Lina mwisho
Hata Hili Lina mwisho

Hata Lina pita
Hata hili Lina mwisho

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here